Breaking News: Prof. Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenyekiti wa chama cha CUF
Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenye kiti wa chama cha CUF.
Lipumba ametangaza uamzi huo muda mfupi ulopita kwenye hotel ya Peacock,Dar es sa salaam, amesema hataki kuendelea kushiriki katika mambo yanayoendelea kwasababu kuna vitu vingi vimekiukwa. Hatua hiyo imekuja baada ya mkutano wake na waandishi wa habari kuhairishwa ghafla siku ya jana, Mbali na kujivua uwenyekiti Lipumba amesema ataendelea kuwa mwanachama wa CUF.
0 comments:
Post a Comment