Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa
duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani. Tazama hii video hapa chini ujue hizo milioni alizozichukua Diamond.
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie. TAZAMA HAPA CHINI PRODUCER MANECKY ALIVYOMALIZA BEEF NA DIAMOND
0 comments:
Post a Comment