Pichaz ziko mitandaoni.. Wema Sepetu nae kapost kwenye ukurasa wake wa Instagram, amevaa gauni la harusi.. Wema Sepetu ameolewa kweli au movie????
Soudy Brown kamtafuta Wema.. alichokijibu ni kwamba ni kweli ameolewa ila hayuko tayari kumtaja mume wake.. amesema kuwa kaamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa ‘juju’.
Wema amesema ndoa yao ilifungwa bomani kwa sababu mume wake ni mkristo.. kingine ni kwamba harusi ilihudhuriwa na watu watano pamoja na familia yake ila mwishoni mwa mwezi huu watafanya sherehe rasmi.
Kuhusu ishu ya kutopata mtoto Wema amesema mwanaume huyo anajua na amekubaliana na hiyo hali lakini inawezekana kwake wakapata mtoto.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza stori yote…
0 comments:
Post a Comment