Baadhi ya Viongozi wa Vyama vinavyounda
Umoja wa UKAWA wamekutana Dar, kilichotolewa rasmi kabisa ni taarifa ya
Ratiba ya Mgombea wao wa Urais, Edward Lowassa kuchukua Fomu ya Urais August 10…
Lakini hii ni mara ya kwanza pia linatolewa jibu kuhusu kinachoendelea kwa upande wao baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwenye Chama chake.
Unaweza kuicheki story yote kwenye hii Video kilichoongelewa na Viongozi hao mwanzo mpaka mwisho.
0 comments:
Post a Comment