Entertainment Upande mwingine wa Shamsa Ford,kaamua kutueleza haya leo…

shamsa
Katika maisha ya kawaida ya Binadamu yoyote kuna vitu unaweza kuviona moja kwa moja hata unapoishi nae lakini kuna vingine ni mpaka akueleze mwenyewe,Leo Shamsa Ford kutoka kiwanda cha Filamu Tanzania kaamua kuchukua time yake kutueleza vingine tusivyojua kuhusu yeye kwenye upande hasi wake.
Kwenye akaunti yake ya Instagram ameweka picha yake kisha akaandika haya>>Morning my PEOPLE..HIZI NDO MY NEGATIVE SIDES ..(1) nina wivu kupitiliza kwa mtu ambae nampenda ingawa sioneshi (2)nina kaukorofi nikiudhiwa (3) nina hasira sana (4) ni mtu ambae nikiamua langu nimeamua.
Hapa anaendelea (5) mm ni msiri mnooooo (6)ni mtu ambae ni mzito kusema shida yangu niko radhi nife nayo kimiya kimiya (7)ni mgumu kusamehe (8)mtu anaweza kunikosea na nikakaa kimiya nisimuulize na nisimuoneshe tofauti yoyote (9) ni mwepesi kuamini watu (10) ni mbishi kidogo (11) ni mtu ambae nafwata sana moyo wangu kuliko akili yangu (12) ni mtu ambae nikiamua langu lazima nilitimize.
Zingine alizoandika ni (13) ni mtu ambae napenda sana kusema ukweli mwisho wa siku inaniongezea maadui (14) huwa sitabiliki naweza nikawa mpole pia naweza kuwa mkorofi (15)napenda kudekezwa (16) ni mtu wa kupuuzia vitu (17)muda mwingine najiamini kupitiliza (18) nikimpenda mtu namuonesha na nikimchukia mtu lazima ajue coz sijui kupretend (19) huwa sikubali kushindwa (20)nikiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae nampenda huwa nasahau kabisaa marafiki (21) … ZINGINE NITAMALIZIA BAADAE ZIMEBAKI NEGATIVE SIDES ZANGU 30

Hiki ndicho alichoandika pia
Morning my PEOPLE..HIZI NDO MY NEGATIVE SIDES ..(1) nina wivu kupitiliza kwa mtu ambae nampenda ingawa sioneshi (2)nina kaukorofi nikiudhiwa (3) nina hasira sana (4) ni mtu ambae nikiamua langu nimeamua (5) mm ni msiri mnooooo (6)ni mtu ambae ni mzito kusema shida yangu niko radhi nife nayo kimiya kimiya (7)ni mgumu kusamehe (8)mtu anaweza kunikosea na nikakaa kimiya nisimuulize na nisimuoneshe tofauti yoyote (9) ni mwepesi kuamini watu (10) ni mbishi kidogo (11) ni mtu ambae nafwata sana moyo wangu kuliko akili yangu (12) ni mtu ambae nikiamua langu lazima nilitimize (13) ni mtu ambae napenda sana kusema ukweli mwisho wa siku inaniongezea maadui (14) huwa sitabiliki naweza nikawa mpole pia naweza kuwa mkorofi (15)napenda kudekezwa (16) ni mtu wa kupuuzia vitu (17)muda mwingine najiamini kupitiliza (18) nikimpenda mtu namuonesha na nikimchukia mtu lazima ajue coz sijui kupretend (19) huwa sikubali kushindwa (20)nikiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae nampenda huwa nasahau kabisaa marafiki (21) … ZINGINE NITAMALIZIA BAADAE ZIMEBAKI NEGATIVE SIDES ZANGU 30
A photo posted by shamsa Ford (@shamsaford) on
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
Share on Google Plus

About Global Publishers

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment