Singo hii ni moja kati ya singo zilizoingia kwenye headlines ya misukosuko kutoka kwa Abdul Kiba kwa sababu wakati akijiandaa kwenda kupiga picha na kushoot video hii,walivamiwa na majambazi nyumbani kwao na kuibiwa vitu vingi ikiwemo fedha ambayo ilikua itumike kwa kazi hii.
Video imekamilika na tayari Abdul Kiba kaiachia kwenye mtandao imetengenezwa na Hanscana kamshirikisha mwandada Ruby,hii singo inaitwa Ayaya.
0 comments:
Post a Comment